Pata taarifa kuu
Changu Chako, Chako Changu

Toleo la 9 la bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon mwaka 2022

Imechapishwa:

Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu ambapo leo tunazungumzia kuhusu Bourse iitwayo Ghislaine Dupont na Claude Verlon. Na kwenye kipengele cha le parler francophone nitakujuza kuhuus ratiba ya shughuli za kitamaduni katika Alliance francaise ya Lubumbashi na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Aslay kutoka nchini Tanzania ambae hivi karibuni amesaini na Lebo ya Rock Star ya nchini Afrika Kusini. Mimi naitwa Ali Bilali Bienvenue.

Bourse Ghislaine Dupon na Claude Verlon
Bourse Ghislaine Dupon na Claude Verlon © Graphique FMM
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.