Pata taarifa kuu
TANZANIUA-MALAWI

Serikali ya Tanzania yataka kumaliza mzozo kati yake na Malawi kuhusu ziwa Nyasa kwa amani

Serikali ya Tanzania imeendelea kusisitiza kuwa ni lazima mzozo uliopo kati yake na nchi ya Malawi kuhusu umiliki wa ziwa Nyasa umalizwe kwa mazungumzo na sio kutumia nguvu.

Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Bernard Membe
Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Bernard Membe
Matangazo ya kibiashara

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa tanzania Bernad Membe amesema kuwa suala la mgogoro wa ziwa nyasa ni lazima limalizwe kwa mazungumzo na sio upande mmoja kulazimisha kuendelea na utafiti wa mafuta na gesi kwenye ziwa hilo wakati bado hakuna sukulu.

Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje wa Mawali, Patrick Kabambe amesema kuwa nchi yao haioni sababu ya kufanya mazungumzo na Tanzania kwakuwa wanaamini kuwa ziwa lote ni mali ya Malawi.

Mzozo kati ya nchi ya Malawi na Tanzania kuhusu nani anamiliki sehemu ya ziwa Nyasa umeibuka baada ya nchi zote mbili kutangaza kuanza utafiti wa gesi na mafuta kwenye ziwa hilo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.