Pata taarifa kuu
KENYA-SIASA

Ruto azindua ilani ya muungano wake wa siasa kuelekea Uchaguzi Mkuu

Nchini Kenya, naibu rais William Ruto ambaye anawania urais kupitia muungano wa Kenya Kwanza, anazindua manifesto au ilani ya muungano wake wa siasa  jijini Nairobi, kuainisha yale atakayofanya iwapo atachaguliwa kuwa rais baada ya uchaguzi wa mwezi wa nane.

William Ruto, nabu rais wa Kenya na mgombea urais nchini Kenya
William Ruto, nabu rais wa Kenya na mgombea urais nchini Kenya REUTERS - BAZ RATNER
Matangazo ya kibiashara

Mgombea mwingine, Profesa George Wajackoya naye pia anazindua manifesto yake siku ya Alhamisi jioni.

Lakini je, manifesto au ilani ina maana gani na je, wananchi wanapaswa kuamini ahadi zinazotolewa ? Profesa Herman Manyora, anachambua…

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.