Pata taarifa kuu
BURMA-SIASA

Burma yatengwa kwenye mkutano wa ASEAN

Nchi jirani kwa na Burma zinakusudia kuidhinisha vikwazo dhidi ya  viongozi wa kijeshi wa Burma ambao hawaheshimu ahadi za kisiasa zilizotolewa Jumuiya ya kikanda ya nchi za Kusini Mashariki mwa Asia, ASEA,  za kurejesha amani nchini Burma.

Mkuu wa utawala wa kijeshi nchini Burma atengwa kushiriki mkutano ujao wa Jumuiya ya kikanda ya nchi za Kusini Mashariki mwa Asia, ASEA, jumuiya hiyo imetanagza Jumamosi (Oktoba 16).
Mkuu wa utawala wa kijeshi nchini Burma atengwa kushiriki mkutano ujao wa Jumuiya ya kikanda ya nchi za Kusini Mashariki mwa Asia, ASEA, jumuiya hiyo imetanagza Jumamosi (Oktoba 16). Alexander Zemlianichenko POOL/AFP/File
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.