Pata taarifa kuu
CHINA-HAKI

Mwanaharakati wa Hong Kong ahukumiwa katika kesi ya usalama wa kitaifa

Mmoja wa wanaharakati wanaopigania demokrasia, ambaye alikuwa kizuizini nchini China baada ya kujaribu kukimbia mji wa Hong Kong, amehukumiwa leo Alhamisi kwa kushirikiana na nchi ya kigeni katika kesi ya usalama wa kitaifa.

Jaji wa Mahakama Kuu ya Hong Kong amemhukumu Andy Li, ambaye atasalia kizuizini, kwa kula njama ya kufanya kitendo cha uasi. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Januari 3, 2022. Haijulikani ni lini Andy Li atahukumiwa.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Hong Kong amemhukumu Andy Li, ambaye atasalia kizuizini, kwa kula njama ya kufanya kitendo cha uasi. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Januari 3, 2022. Haijulikani ni lini Andy Li atahukumiwa. AFP - GREG BAKER
Matangazo ya kibiashara

Andy Li alikuwa sehemu ya kundi la watu 12 waliokamatwa na mamlaka ya China akiwa kwenye boti njiani kuelekea Taiwan.

Mahakama imefahamisha kwamba Andy Li alikuwa amepewa jukumu na Jimmy Lai, tajiri na mmiliki wa vyombo vya habari Hong Kong, anayezuiliwa jela, kumsaidia kupata vikwazo dhidi ya Hong Kong na China.

Jaji wa Mahakama Kuu ya Hong Kong amemhukumu Andy Li, ambaye atasalia kizuizini, kwa kula njama ya kufanya kitendo cha uasi. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Januari 3, 2022. Haijulikani ni lini Andy Li atahukumiwa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.