Pata taarifa kuu

Marekani yazindua chanjo ya watoto wadogo dhidi ya COVID-19

Chanjo kwa kutumia sindao dhidi ya Covid-19 kwa watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 11 ilianza kutolewa Jumanne usiku Novemba 2 nchini Marekani. Hatua mpya ya kampeni ya chanjo ambayo Joe Biden anaiona kama 'mafaanikio makubwa'. Watoto wapya milioni 28 ndio wanatarajiwa kupewa chanjo hiyo.

Janga la COVID-19 limesababisha ukosefu wa ajira nchini Marekani.
Janga la COVID-19 limesababisha ukosefu wa ajira nchini Marekani. AP Photo/Rick Bowmer
Matangazo ya kibiashara

Vituo vya kuzuia na kudhibiti magonjwa ya kuambukia (CDC) siku ya Jumanne 2 Novemba iliamuru chanjo ya sindani ya Pfizer kwa watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 11, baada ya mamlaka ya dawa na chakula nchini Marekani (FDA) kkutoa idhini mwishoni mwa wiki wiki iliyopita.

Chanjo "itawawezesha wazazi kumaliza miezi ya wasiwasi kwa watoto wao," amepongeza Joe Biden mara baada uzinduzi huo kutangazwa. Joe Biden amekaribisha "hatua muhimu mbele" na "hatua ya kubwa" katika kupambana na janga hilo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.