Pata taarifa kuu
BRAZIL-AFYA

Brazil yaendelea kukumbwa na maandamano, COVID-19 yaendelea kushika kasi

Brazil inaendelea kukumbwa na maandamano wakati idadi ya visa vya maabukizi na vifo inaendelea kuonezeka kila kukicha.

Kuendelea kwa idadi kubwa ya vifo na visa vya kila siku vya maambukizi ya COVID-19 kumedhoofisha umaarufu wa Rais Jair Bolsonaro.
Kuendelea kwa idadi kubwa ya vifo na visa vya kila siku vya maambukizi ya COVID-19 kumedhoofisha umaarufu wa Rais Jair Bolsonaro. Andre Borges AFP
Matangazo ya kibiashara

Maelfu ya watu waliandamana Jumatano jioni, wakati Rais Jair Bolsonaro akihutubia taifa, siku chache tu baada ya waandamanaji kuingia barabarani nchini humo kupinga jinsi anavyoshughulikia janga la COVID-19, ambalo hadi sasa limeuwa karibu watu nusu milioni nchini humo.

Serikali ya kiongozi wa mrengo wa kulia imeendelea kukabiliwa na hali ngumu kutokana na kushindwa kushughulikia janga la COVID-19.

Kuendelea kwa idadi kubwa ya vifo na visa vya kila siku vya maambukizi ya COVID-19 kumedhoofisha umaarufu wa Rais Jair Bolsonaro.

Siku ya Jumatano pekee, karibu Wabrazil 100,000 waliam janga hiloyo, kulingana na takwimu za serikali.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.