Pata taarifa kuu

Afrika Kusini: Tisa wafariki katika mlipuko wa lori la gesi karibu na Johannesburg

Watu tisa wamefariki na wengine karibu 40 kujeruhiwa katika mlipuko wa lori la gesi huko Boksburg, yapata kilomita 40 mashariki mwa Johannesburg, maafisa walisema Jumamosi.

Lori hilo lilikwama chini ya daraja, karibu na hospitali, lakini pia kwenye makaazi ya watu Jumamosi asubuhi.
Lori hilo lilikwama chini ya daraja, karibu na hospitali, lakini pia kwenye makaazi ya watu Jumamosi asubuhi. tambo hospital.jpg
Matangazo ya kibiashara

Lori hilo lilikwama chini ya daraja, karibu na hospitali, lakini pia kwenye makaazi ya watu Jumamosi asubuhi. 

"Wazima moto waliingilia kati, lakini kwa bahati mbaya lori lililipuka," William Ntladi, msemaji wa idara ya huduma za dharura katika eneo hili, ameliambia shirika la habari la AFP.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.