Pata taarifa kuu
SOMALIA-USALAMA

Somalia: Umoja wa Mataifa waelekea kumaliza operesheni dhidi ya uharamia

Jumuiya ya kimataifa inaanza kujiondoa katika maji ya Somalia. Somalia imekataa kuruhusu Umoja wa Mataifa kuongeza kwa mwaka mmoja idhini yake kwa meli za kivita kupambana na maharamia nje ya pwani yake. Ni kwa muda wa miezi 3 pekee ambapo uidhinishaji huu umesasishwa kwa sasa.

Meli inayoshukiwa kuwa ya maharamia karibu na pwani ya Somalia.
Meli inayoshukiwa kuwa ya maharamia karibu na pwani ya Somalia. AFP/Ministère de la Défense
Matangazo ya kibiashara

Baada ya wiki chache za mazungumzo, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipiga kura kwa muda mfupi zaidi wa kuidhinisha kupinga uharamia. Ingawa hakuna mashambulizi ya maharamia ambayo yamefanyika kwa muda wa miaka 4, Somalia ilitaka kurejesha mamlaka kamili juu ya maji yake katika ngazi ya kitaifa, ikihofia kwamba mkundi yenye silaha yatavamia pwani yake.

Kwa hivyo Mogadishu ilidai kwamba hatua hii iongezwe kwa kipindi cha miezi miwili pekee. Hatimaye iliongezwa kwa miezi mitatu. Ufaransa haikufarahish

Lakini shinikizo ni kubwa nchini Somalia: kampeni ya uchaguzi inainashinikiza mamlaka kusisitiza uhuru wa kitaifa, na kupunguza majukumu ya kuchukua hatua huko New York.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.