Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kiongozi wa kundi la Al Shabaab auawa huko Somalia, na jenerali Lucien Bahuma azikwa huko DRC

Imechapishwa:

Viongozi wa mataifa ya Afrika mashariki viongozi wakuu wa nchi wanachama wa umoja wa Afrika walikutana Juma hili mjini Nairobi, nchini Kenya kujadili masuala ya ugaidi, na matarajio ya baadaye ya nchi wanachama wa umoja huo.Wananachi wa Mashariki mwa DRC wastushwa na kifo cha kamanda mkuu wa majeshi ya kanda la nane la kijeshi Jemadari Lucien Bahuma, Na huko Somalia Jeshi la kulinda amani, Amison latekeleza mashambulizi dhidi ya Alshabaab, kwa usaidizi wa jeshi la Marekani kiongozi wa kundi hilo auawa.Na katika uga wa kimataifa Juma hili viongozi wa nchi za jumuiya ya Magharibi NATO huko Wales, Uingereza, waliishutumu Urusi kwa ushawishi wake katika mgogoro wa Ukraine.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.