Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Edgar Lungu ashinda uchaguzi nchini Zambia

Imechapishwa:

Rais Edgar Lungu, amechaguliwa kuwa rais wa Zambia baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu wiki iliyopita.Mgombea wa upinzani Hakainde Hichilema, amekataa kuyatambua matokeo hayo na kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura.Tunachambua kwa kina siasa za Zambia.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.