Watu 20 wafariki baada ya basi kudondoka kutoka darajani Venice
Basi limeanguka jioni ya Jumanne, Oktoba 3 kutoka darajani huko Venice, na kusababisha "wahanga wengi," ametangaza meya wa jiji hili la kaskazini mwa Italia Luigi Brugnaro.
Imechapishwa: Imehaririwa:
Matangazo ya kibiashara
"Janga kubwa lilmeikumba jamii yetu jioni ya leo", na kusababisha "wahanga wengi kati ya wale waliokuwepo kwenye basi lililoanguka" kutoka kwa daraja karibu na Mestre, bara, meya amesema kwenye Facebook, akielezea "tukio la ajabu.
Habari zaidi zinakujia...