Pata taarifa kuu

Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol, amezuru Ukraine

Rais wa Korea Kusini Yoon Suk-yeol amefanya ziara ya kushtukiza nchini Ukraine, hatua ambayo imeeleza kuwa inaonyesha wazi kwamba nchi yake inaunga mkono nchi hiyo katika vita vyake dhidi ya Urusi.

Kiongozi wa Korea kusini amefanya ziara ambayo haikupangwa nchini Ukraine
Kiongozi wa Korea kusini amefanya ziara ambayo haikupangwa nchini Ukraine © Yonhap
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.