Pata taarifa kuu
ULAYA-AFYA

WHO yaonya nchi za Ulaya kuchukua hatua zaidi kudhbiti gonjwa la COVID-19

Shirika la Afya Duniani WHO sasa linaonya kuwa watu wengine 236,000 huenda wakapoteza maisha barani Ulaya kufikia Desemba tarehe 1 kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona.

Bara la Ulaya limeripoti vifo zaidi ya Milioni 1 na  Laki Tatu tangu kuzuka kwa mamabukizi hayo mwaka mmoja ulipopita.
Bara la Ulaya limeripoti vifo zaidi ya Milioni 1 na Laki Tatu tangu kuzuka kwa mamabukizi hayo mwaka mmoja ulipopita. AP - Markus Schreiber
Matangazo ya kibiashara

Mkurugenzi Mkuu wa WHO barani Ulaya Hans Kluge amesema hali ya utoaji chanjo kwa baadhi ya mataifa bado iko chini na maambukizi aina ya Delta yameonekana kuongezeka, lakini pia mataifa mbalimbali yamelegeza masharti ya kuzuia maambukizi hayo kusambaa.

Onyo hili la WHO linakuja wakati huu, bara la Ulaya likiwa limeripoti vifo zaidi ya Milioni 1 na  Laki Tatu tangu kuzuka kwa mamabukizi hayo mwaka mmoja ulipopita.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.