MAREKANI-CHINA-USHIRIKIANO-UCHUMI
China na Marekani zapiga hatua katika mazungumzo yao
China na Marekani zimepiga hatua muhimu katika mazungumzo ya kuimarisha na kutatua changamoto za kibiashara kati ya mataifa hayo mawili yenye uchumi mkubwa duniani.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Rais Donald Trump amesema hivi karibuni, atakutana na mwenzake wa China ili kupata mwafaka wa pamoja.
Tofauti za kibiashara zilianza kuonekana baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka China.
China imesisitiza kuwepo kwenye mazungumzo tena mazungumzo yenye usawa, huku ikibani kwamba kuaminiana na kuheshimiana ni njia pekee ya kumaliza mzozo wa kiuchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili