Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Siasa na usalama barani Afrika

Imechapishwa:

Juma hili, Uganda imetangaza kuwa itatuma wanajeshi zaidi nchini Somalia kupambana na kundi la kigaidi la Al Shabab.Uganda inaongoza kuwa na wanajeshi wengi wa Umoja wa Afrika AMISOM ambo una zaidi ya wanajeshi 20,000.Je, utumizi wa jeshi una nafasi gani katika utatuzi wa migogoro na upatikanaji wa mwafaka wa siasa  barani Afrika

Baadhi ya wanajeshi wa kikosi cha Uganda wanaounda jeshi la AMISOM nchini Somalia
Baadhi ya wanajeshi wa kikosi cha Uganda wanaounda jeshi la AMISOM nchini Somalia Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.