Pata taarifa kuu

Kocha wa Tanzania anaamini timu yake itafanya vyema katika mechi zijazo

Nairobi – Kocha wa timu wa Taifa Stars Amrouche baada ya kipigo cha magoli matatu bila ya jibu dhidi ya Morocco, amesema vijana wake wamejifunza na hawatarudia makosa waliofanya katika siku zijazo. Jason Sagini yuko Ivory Coast na ametuma ripoti hii.

Kocha wa taifa stars Adel Amrouche
Kocha wa taifa stars Adel Amrouche AP - Themba Hadebe
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.