Cameroon yamuita Onana katika mapambano ya Kombe la Mataifa ya Afrika
NAIROBI β Timu ya Cameroon imemuita kipa wa Manchester United Andre Onana, ili kuokoa jahazi wakati timu hiyo itakapokuwa inacheza dhidi ya Burundi, katika mechi ya mchujo hapo kesho kushiriki katika Kombe la Mataifa ya Afrika.
Imechapishwa:
Mwaka uliopita Onana alichujwa na kutumwa nyumbanoi baada yaΒ kuichezea Indomitable Lions katika mechi yao ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2022 dhidi ya Uswizi kufuatia kutofautiana na kocha Rigobert Song.
Lakini kutokana na Cameroon kuhitaji ushindi ili kuwa na uhakika wa kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya 2023 nchini Ivory Coast, Song amemshawishi Onana kutojiondoa katika ulingo wa kimataifa.
Mabingwa wa taji hilo Senegal, ni miongoni mwa nchi 15 ambazo zimefuzu kwa michuano hiyo inayofanyika kila baada ya miaka miwili, na nafasi tisa zaidi zitanyakuliwaΒ wakati wa duru ya mwisho ya siku saba.
Mechi kuanzia hapo kesho, Jumatano
Septemba 6, Jumatano
Kundi J
Libya v Equatorial Guinea (Benghazi, Libya)
Β
Septemba 7, Alhamisi
Kundi E
Angola v MadagascarΒ (Lubango, Angola)
Ghana v Central African Republic (Kumasi, Ghana)
Group F
Niger v Uganda (Marrakech, Morocco)
Algeria v Tanzania(Annaba, Algeria)
Group J
Tunisia v Botswana (Rades, Tunisia)
Β
Septemba 8, Ijumaa
Group D
Egypt v Ethiopia (Cairo, Misri)
Group B
Burkina Faso v Eswatini (Marrakech)
Group G
Mali v South Sudan (Bamako, Mali)
Septemba 9, Jumamosi
Group L
Mozambique v Benin (Maputo, Msumbiji)
Rwanda v Senegal (Huye, Rwanda)
Group D
Malawi v Guinea (Lilongwe, Malawi)
Group I
Mauritania v Gabon (Nouakchott)
Democratic Republic of Congo v Sudan (Kinshasa, DRC)
Group H
Ivory Coast v Lesotho (San Pedro, Ivory Coast)
Comoros v Zambia (Moroni)
Group K
Morocco v Liberia (Agadir, Morocco)
Β
Septemba 10, Jumapili
Group A
Nigeria v Sao Tome e Principe (Uyo, Nigeria)
Group B
Togo v Cape Verde(Lome)
Group G
Gambia v Congo Brazzaville (Marrakech, Morocco)
Β
Septemba 11, Jumatatu
Β Group A
Guinea-Bissau v Sierra Leone (Bissau)
Β
Septemba 12, Jumanne
Group C
Cameroon v Burundi (Garoua, Cameroon)