Pata taarifa kuu
Rwanda - Michezo

Mashindano ya ligi ya mpira wa kikapu vilabu bingwa barani Afrika, yaanza Kigali

Rais wa Rwanda Paul Kagame kushoto
Rais wa Rwanda Paul Kagame kushoto © Newtimes Rwanda
Matangazo ya kibiashara

Mashindano ya ligi ya mpira wa kikapu vilabu bingwa barani Afrika (BAL), yanaanza kutifua vumbi jijini  Kigali kuanza leo jumamosi  tarehe 21-28 Mei 2022.

Mashindano haya yanafanyika katika  Kigali Arena yenye uwezo wa kupokea watazamaji elfu 10 wakiwa wamekaa. Timu zitakazoshiriki ni 8 bora zilizofuzu hatua ya 1/4 fainali ya kombe la Afrika.

 

Mwanamichezo wetu Christopher Karenzi akiwa Kigali Rwanda na maelezo zaidi

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.