Pata taarifa kuu
AFCON 2021-CAMEROON-SOKA

Makocha waanza kutaja vikosi kuelekea fainali ya AFCON 2021

Wiki chache kabla ya kuanza kwa michuano ya soka, kuwania taji la mataifa ya Afrika, nchini Cameroon kuanzia Januari 9, makocha wa timu zitakazoshiriki wameanza kutaja vikosi vyao.

Kikosi cha Ivory Coast
Kikosi cha Ivory Coast © CAFONLINE
Matangazo ya kibiashara

Kocha wa Morocco Vahid Halilodzic amekitaja kikosi cha Atlas Lions, akiwemo mshambuliaji wa Barcelona Abdessamad Ezzalzouli, ambaye ataichezea timu ya taifa kwa mara ya kwanza.

Hata hivyo, kocha huyo amewaacha kiungo wa Kati, anayekipiga na Chelsea Hakim Ziyech,  beki  Noussair Mazraoui, anayechezea Ajax ya Ufaransa na Badr Benoun pamoja na Achraf Bencharki wanaocheza soka nchini Misri;

Morocco imepangwa na Ghana, Gabon , Comoros katika kundi C.

 

Kikosi kamili

Makipa: Yassine Bounou (Sevilla, Hispania), Mounir Mohamedi (Hatayspor, Uturuki), Anas Zniti (Raja)

Mabeki: Romain Saiss (Wolverhampton Wanderers, Uingereza), Nayef Aguerd (Stade Rennes, Ufaransa), Sofiane Chakla (OH Leuven, Ubelgiji), Sami Mmaee (Ferencvaros, Hungary), Achraf Hakimi (Paris Saint-Germain, Ufaransa), Sofiane Alakouche (Metz, Ufaransa), Sofiane El Karouani (NEC Nijmegen, Uholanzi), Adam Masina (Watford, Uingereza )

Viungo wa Kati: Sofiane Amrabat (Fiorentina, Italia), Ayman Barkok (Eintracht Frankfurt, Ujerumani), Faycal Fajr (Sevaspor, Uturuki), Imran Loza (Watford, Uingereza), Ilias Chair (Queens Park Rangers, Uingereza), Selim Amallah (Standard Liege, Ubelgiji), Azzedine Ounahi (Angers, Ufaransa)

Washambuliaji: Abdessamad Ezzalzouli (Barcelona, ​​Hispania ), Munir El Haddadi (Sevilla, Hispania), Zakaria Aboukhlal (AZ Alkmaar, Uholanzi), Youssef En-Nesyri (Sevilla, Hispania), Ayoub El Kaabi (Wydad), Sofiane Boufal (Angers, Ufaransa), Ryan Mmaee (Ferencvaros, Hungary).

 

COMORO

Kocha wa Comoro  Amir Abdou  ambayo itashiriki katika michuano hii kwa mara ya kwanza, ametaja kikosi cha wachezaji 26 kuelekea michuano hiyo.

Kocha Abdou amechanganya kikosi chake kwa kuwa na wachezaji wenye uzoefu na akiwemo nahodha Nadjim Abdou anayecheza soka nchini Ufaransa na beki chipukizi Kassim M’Dahoma anayecheza pia nchini Ufaransa.

Kikosi kamili:

Makipa: Salim Ben Boina (Endoume, Ufaransa), Ali Ahamada (SK Brann Bergen, Norway), Moyadh Ousseni (Frejus, Ufaransa )

Mabeki: Nadim Abdou (FC Marigues, Ufaransa), Benjaloud Youssouf (La Berrichonne De Chatauroux, Ufaransa), Abdallah Ali Mohamed (US Avranches, Ufaransa), Kassim Mdahoma (US Avranches, Ufaransa), Younn Zahary (Cholet, Ufaransa), Chaker Alhadhur (AC Ajaccio, Ufaransa), Mohamed Youssouf (AC Ajaccio, Ufaransa), Kassim Abdallah (Marignane Cignac, Ufaransa)

Viungo wa Kati: Fouhad Bachirou (Omonia Nicosie, Cyprus), Youssouf M’Changama (EA Guingamp, Ufaransa), Yacine Bourhane (Go Ahead Eagles, Uholanzi), Nakibou Aboubakari (FC Sete 34, Ufaransa), Iyad Mohamed (AJ Auxerre, Ufaransa), Rafidine Abdullah (FCS Luasanne, Uswizi)

Washambuliaji: Faiz Selemani (Kortijk, Ubelgiji), Mohamed El Fardou (Red Star Belgrade, Serbia), Nasser Chamed (Gaz Metan Medias, Romania), Ahmed Mogni (FC Annecy, Ufaransa ), Faiz Mattoir (Cholet, Ufaransa), Ali M’Madi (SAS Epinal, Ufaransa ), Said Bakari (RKC Waalwijk,Uholanzi ), Moussa Djoumoi (AS Sait-Priest, Ufaransa), Mohamed M’Changama (FC Nouadhibou, Mauritania)

 

COTE DVOIRE

Kocha wa Cote Dvoire,Patrice Beaumelle amekitaja kikosi cha wachezaji 28. The Elephants, Tembo wamepangwa katika kundi moja la E na mabingwa watetezi Algeria,Sierra Leone na Equatorial Guinea.

Makipa: Sylvain Gbohouo (Wolkite Ketema, Ethiopia), Badra Ali (JDR Stars, Afrika Kusini ), Ira Tapé (FC San Pedro), Cissé Abdul Karim (ASEC Mimosas)

Mabeki: Serge Aurier (Villareal, Hispania), Éric Bailly (Manchester United, Uingereza), Willy Boly (Wolverhampton, Uingereza), Wilfried Kanon (Pyramids FC, Misri ), Odilon Kossonou (Bayer Leverkusen,Ujerumani), Simon Deli (Adana Demirspor, Uturuki); Ghislain Konan (Reims, Ufaransa)

Viungo wa Kati: Habib Maiga (Metz, France), Serey Die (FC Sion, Uswizi), Ibrahim Sangaré (PSV Eindhoven, Uholanzi), Jean Daniel Akpa Akpro (Lazio, Italia), Franck Kessie (AC Milan, Italia), Hamed Junior Traoré (Sassuolo, Italia), Jean Michael Seri (Fulham, Uingereza)

Washambuliaji: Maxwell Cornet (Burnley, Uingereza), Max Gradel (Sivasspor, Uturuki), Jérémie Boga (Sassuolo, Italia), Wilfried Zaha (Crystal Palace, Uingereza), Jean Évrard Kouassi (Trabzonspor, Uturuki), Nicolas Pépé (Arsenal, Uingereza), Christian Kouame (Anderlecht, Ubelgiji), Sebastien Haller (Ajax, Uholanzi), Johan Boli (Al- Rayan, Qatar), Konaté Karim (ASEC Mimosas)

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.