Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mashindano ya michezo Afrika kufanyika Rabat nchini Morocco

Imechapishwa:

Mashindano ya All Africa Games yanatazamiwa kuanza Jumatatu Agosti 19 mwaka 2019 huko Rabat nchini Moroco yakishirikisha wanamichezo mbalimbali ikiwemo riadha. Tunaangazia maandalizi ya mataifa ya Afrika mashariki kuelekea mashindano hayo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na Emanual Makundi sambamba na katibu mkuu wa Shirikisho la riadha Tanzania Wilhelm Gidabuday na Rick Ogola ambaye ni mwandishi wa spoti wa kituo cha KBC cha Kenya.

Mashindano ya All Afrika Games 2019 yanafanyika Rabat nchini Morocco
Mashindano ya All Afrika Games 2019 yanafanyika Rabat nchini Morocco wikipedia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.