Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

TP Mazembe yapata ushindi mwembamba dhidi ya FUS Rabat

Imechapishwa:

Michuano ya kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika, imeingia katika hatua muhimu wiki hii, hatua ya nusu fainali. Michuano hii inachezwa nyumbani na ugenini. Tunachambua kwa kina mchuano kati ya TP Mazembe na FUS Rabat kuwania taji la Shirikisho.

Wachezaji wa U.S.M ALGER ya Algeria wakimenyana na WYDAD AC ya Morocco katika nusu fainali ya kwanza ya michuano ya klabu bingwa Afrika Septemba 30 2017
Wachezaji wa U.S.M ALGER ya Algeria wakimenyana na WYDAD AC ya Morocco katika nusu fainali ya kwanza ya michuano ya klabu bingwa Afrika Septemba 30 2017 http://www.cafonline.com/
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.