Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

CAF yaipokonya Kenya kuandaa fainali ya CHAN 2018

Imechapishwa:

Uongozi wa Shirikisho la soka barani Afrika CAF, umeipokonya Kenya haki ya kuandaa fainali ya CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani CHAN mwaka 2018.CAF  imesema uamuzi huu umefikiwa kwa sababu ya maandalizi yanayokwenda polepole hasa ujenzi wa viwanja,  viongozi wa soka kutokuwa wakweli lakini pia hali ya kisiasa nchini humo.Tunajadili.

Mkutano Mkuu wa Shirikisho la soka barani Afrika
Mkutano Mkuu wa Shirikisho la soka barani Afrika www.cafonline.com/
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.