Jukwaa la Michezo
Serengeti Boys yamaliza maandalizi ya kucheza fainali ya bara Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 25:21
Timu ya taifa ya soka ya Tanzania yenye wachezaji wasiozidi miaka 17, imemaliza maandalizi ya kushiriki katika michuano ya mataifa bingwa barani Afrika nchini Gabon,kuahirishwa kwa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki nchini Kenya na michuano ya klabu bingwa barani Ulaya UEFA. Tunajadili hili kwa kina.