Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Changamoto ya kutowalipa makocha wa timu za taifa za soka

Imechapishwa:

Makala ya Jukwaa la Michezo tunajadili ni kwanini imekuwa ni vigumu kwa vyama vya soka barani Afrika kuwalipa au kuwacheleweshea mshahara Makocha wa timu za taifa. Mfano ni Kocha wa Uganda Milutin Micho ambaye hajalipwa kwa muda wa miezi mitano licha ya kuiongoza Uganda kufuzu katika fainali ya mataifa bingwa barani Afrika kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 38.

Kocha wa timu ya taifa ya Uganda Milutin Micho Sredojevic
Kocha wa timu ya taifa ya Uganda Milutin Micho Sredojevic michezoplus.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.