Jukwaa la Michezo
CAF: Etoile du Sahel mabingwa wa taji la Shirikisho mwaka 2015
Imechapishwa:
Cheza - 21:36
Klabu ya soka ya Etoile du Sahel kutoka Tunisia ndio mabingwa wa taji la Shirikisho barani Afrika mwaka 2015 baada ya kuishinda Orlando Pirates ya Afrika Kusini kwa jumla ya mabao 2 kwa 1 baada ya fainali ya pili jijini Tunis.Haya na mengine mengi sikiliza Jukwaa la Michezo.