Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya CECAFA yafungua pazia jijini Addis Ababa

Imechapishwa:

Makala ya mwaka huu ya michuano ya kila mwaka ya  soka kati ya Mataifa ya Afrika Mashariki na kati  CECAFA yameanza jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.Mabingwa watetezi Kenya waliwafunga jirani zao Uganda mabao 2 kwa 0 katika mchuano wa ufunguzi wa kundi B.Pata uchambuzi wa kina kuhusu michuano hii.

Wachezaji wa Kenya wakisherehekea baada ya kuwafunga Uganda mabao 2 kwa 1
Wachezaji wa Kenya wakisherehekea baada ya kuwafunga Uganda mabao 2 kwa 1
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.