Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

TP Mazembe yafuzu fainali ya CAF

Imechapishwa:

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imefuzu katika fainali ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kuifunga Al Merrikh ya Sudan. Mazembe sasa itachuana na USM Alger ya Algeria.Nayo klabu ya Arsenal imeishinda Manchester United mabao 3 kwa 0 yaliyopatikana katika kipindi cha kwanza cha mchuano huo wa ligi kuu nchini Uingereza.

Wachezaji wa TP Mazembe wakisherehekea ushindi
Wachezaji wa TP Mazembe wakisherehekea ushindi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.