Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mchezo wa Tenis barani Afrika

Imechapishwa:

Mashindano ya Kimataifa ya Tennis ya US Open mwaka 2015 yamekamilika huku mabingwa wa mwaka huu wakiwa ni Novak Dkojovic kwa upande wa wanaume kutoka Serbia  kwa upande wa wanawake Flavia Pennetta kutoka Italia.Lakini je, ni kwanini mchezo huu si maarufu barani Afrika ?

Serena Williams mchezaji wa Marekani
Serena Williams mchezaji wa Marekani
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.