Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Uhamasishaji wa mchezo wa Baseball barani Afrika

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo, tunaangazia juhudi za serikali ya Japan kupitia mpango wake wa Sport for Tommorow (Mchezo wa kesho)  kuanza harakati za kuhamasisha mchezo wa Baseball barani Afrika.Tanzania ni mfano wa nchi zilizolengwa na Japan, na vijana wa shule za Sekondari ndio walengwa wakubwa wa mchezo huu ambao ni maarufu sana nchini Japan na Marekani.Baraza la Michezo la Japan limeandaa michuano ya dunia ya mchezo huu mwaka 2015 jijini Tokyo na mashindano ya bara Afrika kati ya tarehe 15 hadi 20 mjini Meru nchini Kenya.Kufahamu mchezo huu unavyochezwa uungana nasi kwa kusikiliza Jukwaa la Michezo. 

Wachezaji wa Baseball nchini Kenya
Wachezaji wa Baseball nchini Kenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.