Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Afrika imejifunza nini baada ya kukamilika kwa kombe la dunia ?

Imechapishwa:

Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunajadili ni mambo gani ambayo bara la Afrika limejifunza baada ya kukamilika kwa michuano ya soka ya kombe la dunia nchini Brazil na Ujerumani kuibuka mabingwa.Ungana na Victor Abuso, Emmanuel Makundi na Collins Liberty Adede kwa uchambuzi wa kina. 

REUTERS/Michael Dalder
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.