Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Juhudi za kikanda ili kukabiliana na mapinduzi ya kijeshi Afrika magharibi

Imechapishwa:

Wimbi la siasa imeangazia yaliyojiri nchini Niger baada ya maafisa wa jeshi kumng’atusha madarakani Mohammed Bazoum aliyechaguliwa chini ya misingi ya kidemokrasia, hali inayoendelea kwa sasa pamoja na juhudi za Ecowass kutaka kurejeshwa kwa utawala wa kiraia, na kuachiwa huru kwa rais Bazoum. Kuchambua hili wachambuzi Mali Ali  akiwa kwenye Visiwa vya Mayote, pamoja na Hajji Kaburu akiwa jijini Daresalaam nchini Tanzania.

Rais wa ECOWAS na Rais wa Nigeria Bola Tinubu, wakati wa kikao kisichokuwa cha kawaida mjini Abuja, Julai 30, 2023.
Rais wa ECOWAS na Rais wa Nigeria Bola Tinubu, wakati wa kikao kisichokuwa cha kawaida mjini Abuja, Julai 30, 2023. © AFP/Kola Sulaimon
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.