Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

DRC: Ni uongo mwenyekiti wa CENI Kadima hajakimbia nchi

Imechapishwa:

Makala ya wiki hii kuhusu habari za kupotosha kwenye mitandao ya kijamii tunafanya muendelezo wa habari nchini DRC.

Katuni ya kukanusha madai kuwa mwenyekiti wa CENI, Denis Kadima amekimbia DRC
Katuni ya kukanusha madai kuwa mwenyekiti wa CENI, Denis Kadima amekimbia DRC © RFI Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Mitandao ilichapisha kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi CENI, Denis Kadima amekimbia nchi lakini madai hayo ni ya uongo. Bonyeza hapo juu usikilize makala.

Vipindi vingine
  • 10:18
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.