Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

DRC: Ripoti za kutekwa kwa mbunge wa Masisi Ayobangira ni uongo

Imechapishwa:

Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itafanya uchaguzi tarehe 20 mwezi Disemba, na habari za kupotosha zimegubika kipindi cha kampeni za uchaguzi huo.

Katuni ya kukanusha madai ya uongo ya kukamatwa kwa mbunge DRC
Katuni ya kukanusha madai ya uongo ya kukamatwa kwa mbunge DRC © RFI Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Kwenye kipindi hiki mwandishi Hillary Ingati alikuwa Goma, Mashariki mwa DRC kuchunguza athari za habari za kupotosha kwenye mitandao ya kijamii. Pia habari kuwa Mbunge wa Masisi Safari N,shutu Ayobangira kutekwa ni uongo.

Vipindi vingine
  • 10:18
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.