Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Maji ya vuguvugu ni tiba ya matatizo ya moyo na pumu: Sio kweli

Imechapishwa:

Kwenye kipindi cha hivi leo ikiwa na Ijumaa ya kwanza ya Novemba. Kuna machapisho kwenye mtandao wa Facebook haswa nchini Sri Lanka, yanayosema kunywa maji ya vuguvugu ni tiba ya matatizo ya moyo, pumu, na magonjwa mengine, ukitumia kati ya siku 10 na miezi 9.

Taarifa za kupotosha kuwa kunywa maji ya vuguvugu ni tiba ya matatizo ya moyo, pumu, na magonjwa mengine.
Taarifa za kupotosha kuwa kunywa maji ya vuguvugu ni tiba ya matatizo ya moyo, pumu, na magonjwa mengine. © FMM
Matangazo ya kibiashara

Machapisho haya yanahusisha ushauri usio na msingi kutoka kwa madaktari huko Japani ambao hawajatajwa, yakirejelea mbinu inayotumiwa mara kwa mara kueneza habari za afya za kupotosha.

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.