Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Barua feki kuwa Marekani imeipa Israeli msaada wa Dola bilioni nane

Imechapishwa:

Barua inayodhaniwa kuwa ya Ikulu ya Marekani inayotenga dola bilioni 8 kwa msaada wa kijeshi wa Israeli ni bandia, picha inayosambaa mtandaoni inaonekana kuonyesha barua iliyokarabatiwa ya Julai 2023 inayotangaza msaada wa dola milioni 400 kwa Ukraine.

Barua feki ambayo imekuwa ikisambaa ikidai kuwa Marekani imeipa Israeli msaada wa Dola Bilioni nane
Barua feki ambayo imekuwa ikisambaa ikidai kuwa Marekani imeipa Israeli msaada wa Dola Bilioni nane © FMM
Vipindi vingine
  • 10:18
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.