Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Kenya :Video iliyohaririwa ilikupotosha raia kuhusu hotuba ya rais Ruto

Imechapishwa:

Tuangazia video iliyohaririwa na inapotosha kuwa rais wa Kenya alipuuza wazi wasiwasi wa umma kuhusu bei ghali ya vyakula.

Video iliyohaririwa na ya kupotosha inayoonyesha rais wa Kenya akipuuza hadharani, wasiwasi wa umma kuhusu bei ya juu ya vyakula
Video iliyohaririwa na ya kupotosha inayoonyesha rais wa Kenya akipuuza hadharani, wasiwasi wa umma kuhusu bei ya juu ya vyakula © FMM
Matangazo ya kibiashara

Ni wazi kuwa video hii fupi inayosambazwa iliundwa kwa kuhariri sehemu tofauti za hotuba ya Ruto kutoka kwa tukio hili, na kupotosha muktadha asilia.

Video hii ina sehemu tatu. Katika sehemu ambayo anaonekana kusema kuwa bei ya vyakula haitapungua, alikuwa akirejelea mbinu ya upinzani ya kuweka sufuria kichwani wakati wa maandamano, akisema hilo halitafanya bei ya vyakula kushuka.

Kwa kweli msikilizaji video hii imehaririwa ilikupotosha raia wa Kenya dhidi ya uongozi wa rais Ruto.

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.