Pata taarifa kuu
UKWELI AU UONGO

Tanzania: Sharubati ya maganda ya nanasi inatibu saratani ya kibofu: Haijathibitishwa

Imechapishwa:

Kuna taarifa inayoenea kwenye mtandao wa Facebook nchini Tanzania ikidai kuwa sharubati ya maganda ya nanasi inatibu saratani ya kibofu.

Madai ambayo hayaidhinishwa na WHO kuwa sharubati ya maganda ya nanasi inatibu saratani ya kibofu nchini Tanzania
Madai ambayo hayaidhinishwa na WHO kuwa sharubati ya maganda ya nanasi inatibu saratani ya kibofu nchini Tanzania © FMM
Matangazo ya kibiashara

Ushahidi wa kisayansi uliopo hauungi mkono madai ya mtandaoni. 

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:00
  • 10:58
  • 10:01
  • 10:01
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.