Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Diomaye Faye kuapishwa jumanne kama rais wa Senegal, ziara ya rais wa DRC Mauretania

Imechapishwa:

Rais mteule wa senegal akutana na rais anayemaliza muhula wake Macky Sall, chama kipya cha aliyekuwa rais wa Afrika kusini Jacob Zuma chazuwiwa kushiriki uchaguzi wa mwezi mei,kamati ya haki za kibinadamu ya umoja wa mataifa, yaitaka Uingereza kuachana na mpango wake wa kuwahamisha wahamiaji kwenda nchini Rwanda, na rais wa DRC Félix Tshisekedi ahitimisha ziara yake huko Mauretania, tutaangazia siasa za Kenya, Tanzania, yaliyojiri huko Israeli na kwengineko duniani.

Picha hii iliyopigwa na Ofisi ya rais wa Senegal tarehe 28 Machi 2024 inamuonyesha kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko, Rais wa Senegal anayemaliza muda wake Macky Sall na rais mteule Bassirou Diomaye Faye wakitembea katika ikulu ya Rais huko Dakar.
Picha hii iliyopigwa na Ofisi ya rais wa Senegal tarehe 28 Machi 2024 inamuonyesha kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko, Rais wa Senegal anayemaliza muda wake Macky Sall na rais mteule Bassirou Diomaye Faye wakitembea katika ikulu ya Rais huko Dakar. AFP - -
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.