Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mashirika ya misaada yatatizika kuhudumia wakimbizi DRC, Ufaransa yahalalisha uaviaji

Imechapishwa:

Hali ya usalama kuendelea kuzorota mashariki mwa DRC baada ya waasi wa M23 kuteka miji kadhaa kama Nyanzale na maeneo jirani, wabunge nchini Uingereza kupinga mpango wa kuwapeleka wahamiaji nchini Rwanda, uchaguzi wa urais kufanyika marchi 24 nchini Senegal, mpya wa 32 wa jumuiya ya kujihami ya nchi za Magharibi, NATO, lakini pia hali ya Israeli na kwengineko duniani.

Wanajeshi wa Malawi kutoka kikosi cha SADC nchini DRC waliokuja kuchukua miili ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliouawa wakati wa mapigano kati ya jeshi la Kongo na M23.
Wanajeshi wa Malawi kutoka kikosi cha SADC nchini DRC waliokuja kuchukua miili ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliouawa wakati wa mapigano kati ya jeshi la Kongo na M23. REUTERS - ARLETTE BASHIZI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.