Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mkutano wa COP28, EU kuondoa waangalizi wake wa Uchaguzi huko DRC na mengineyo

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mkutano wa kilele wa kimataifa kuhusu hali ya tabia nchi COP28 huko Dubai, kuachiwa kwa baadhi ya mateka waliokuwa wameshikilwia na Hamas huko Gaza, DRC ilisema muda wa Kuwepo kwa vikosi vya Jumuia ya EAC hautaongezwa baada ya desemba 08, Umoja wa Ulaya  waamua kusitisha mpango wa kuwasambaza waangalizi wake wa uchaguzi nchini DRC, siasa za Kenya, Tanzania, na mengine yaliyojiri kwenye ukanda wa Afrika Mashariki, Afrika magharibi na kwengineko duniani.

Wakuu wa nchi wakishuka kwenye barabara kuu ya Jiji la Maonyesho la Dubai kuashiria kuanza kwa mkutano wa kilele  wa kuzindua COP28 Ijumaa, Desemba 1.
Wakuu wa nchi wakishuka kwenye barabara kuu ya Jiji la Maonyesho la Dubai kuashiria kuanza kwa mkutano wa kilele wa kuzindua COP28 Ijumaa, Desemba 1. via REUTERS - COP28 / MAHMOUD KHALED
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.