Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mashambulio ya Hamas nchini Israel, siasa za DRC na ukanda wa Afrika mashariki

Imechapishwa:

Miongoni mwa mengi yaliyoangaziwa katika makala ya juma hili ni pamoja na mashambulio yaliyofanywa na kundi la Hamas huko Israeli, siasa za Kenya, Uganda na Tanzania, kulegezwa kwa hali ya dharura iliyowekwa kwenye majimbo mawili ya Kivu kaskazini na Ituri huko DRC, hali ya Sudan na kuondoka kwa awamu ya kwanza ya wanajeshi wa Ufaransa nchini Niger, na mengineyo duniani.

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa mbele ya bunge jijini Jerusalem
Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu akiwa mbele ya bunge jijini Jerusalem © Ohad Zwigenberg / AP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.