Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Zaidi ya watu 600 wamefariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini Morocco

Imechapishwa:

Tetemeko kubwa la ardhi siku ya Ijumaa usiku limeitikisa nchi ya Morocco wakati huu zaidi ya watu 600 wakiafriki, kwa mujibu wa takwimu za wizara ya mambo ya ndani, idadi hii ikihofiwa kuendelea kuongezeka.

Tetemeko la ardhi limesababisha vifo vya mamia ya watu na kusababisha uharibifu mkubwa nchini Morocco.
Tetemeko la ardhi limesababisha vifo vya mamia ya watu na kusababisha uharibifu mkubwa nchini Morocco. REUTERS - ABDELHAK BALHAKI
Matangazo ya kibiashara

Tetemeko hilo la ukubwa wa 6.8 lilipiga kilomita 72 kusini magharibi mwa eneo la watalii la Marrakesh, Utafiti wa Jiolojia wa Marekani umeripoti.

Tetemeko pia ilisikika katika miji ya pwani ya Rabat, Casablanca na Essaouira.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.