Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mapinduzi ya kijeshi nchini Niger, mkutano wa Wakuu wa Afrika na Urusi

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika na Urusi huko St Petersburg, Urusi, mapinduzi ya Niger, mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kule Daresalaam nchini Tanzania, upinzani wa Kenya ulitangaza kusitisha maandamano, Siasa za DRC na ufunguzi wa michezo ya Francophonie, hali ya Sudan na matukio mengine duniani.

Rais wa Niger Mohamed Bazoum katika mitaa ya mji mkuu wa Niger, Niamey 2020.
Rais wa Niger Mohamed Bazoum katika mitaa ya mji mkuu wa Niger, Niamey 2020. © Ikulu ya rais Niamey
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.