Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Hali ya usalama yazidi kuzorota Sudan, sheria dhidi ya ushoga bungeni Uganda

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mapigano na hali inavyoendelea nchini Sudan, na miito ya kusitishwa mapigano, muswada wa sheria unaopinga ushoga ulirejeshwa bungeni wiki hii, na kuanza kwa mazungumzo kati ya wajumbe wa muungano wa Upinzani wa Azimio nchini Kenya na wajumbe wa rais wa Kenya William Ruto nchini, tumeangazia yaliyojiri katika eneo la Afrika magharibi na kwengineko duniani

Moshi ukifuka juu ya jengo mjini Khartoum mnamo Aprili 19, 2023 huku mapigano yakiendelea kupamba moto.
Moshi ukifuka juu ya jengo mjini Khartoum mnamo Aprili 19, 2023 huku mapigano yakiendelea kupamba moto. AFP - -
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.