Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Siasa za Kenya, DRC na Uganda zaungana dhidi ya ADF, miaka 29 baada ya mauaji ya Rwanda

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mpango wa kufanyika mazungumzo kati ya upinzani na serikali nchini Kenya kusuasua, ziara ya rais wa Kenya William Ruto nchini Rwanda, wakuu wa majeshi ya DRC na Uganda wapongeza operesheni Shujaa huko Beni, raia wa Senegal, waliadhimisha miaka 63 tangu wapate uhuru wao kutoka kwa Ufaransa, kwengineko aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, alifikishwa mahakamani jijini New York, ziara ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini China kuishawishi Urusi kuachana na vita vya Ukraine, na mambo mengine.

Kiongozi wa muungano wa Azimio One Kenya Raila Odinga akizungumza na wanahabari jijini Nairobi Julai 18, 2022.
Kiongozi wa muungano wa Azimio One Kenya Raila Odinga akizungumza na wanahabari jijini Nairobi Julai 18, 2022. AP - Brian Inganga
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.