Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mahakama ya juu Kenya kusikiliza kesi ya kupinga uchaguzi, mishahara wa wabunge wa DRC

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hatua ya mahakama ya juu nchini Kenya wiki hii ilianza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi kama ilivyowasilishwa na kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga, mishahara minono ya wabunge wa bunge la taifa nchini DRC ilizua gumzo wiki hii, utawala wa kijeshi nchini Burkina Faso wawataka wananchi kuungana ili kupambana na ugaidi. Wataalam wa UN siku ya ijumaa walifanya ukaguzi wa kwanza, katika kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia, huko Ukraine,na mengineyo.

Majaji wa mahakama ya Juu zaidi ya Kenya wakati wa kusikilizwa kwa kesi mnamo Agosti 28, 2017.
Majaji wa mahakama ya Juu zaidi ya Kenya wakati wa kusikilizwa kwa kesi mnamo Agosti 28, 2017. REUTERS/Baz Ratner
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.