Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Tume ya umoja wa mataifa DRC Monusco yashambuliwa, Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya

Imechapishwa:

Katika makala hii utasikia kuhusu maandamano makubwa yaliyofanyika nchini DRC kutaka tume ya umoja wa mataifa Monusco iondoke nchini, mijadala kuhusu mdahalo wa kisiasa kwa wagombea wa kiti cha urais nchini Kenya, kuelekea uchaguzi wa agosti 09, ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini Cameroon, Guinea Bissau, na Benin, lakini pia mahusiano kati ya China na Marekani.Kwa hayo na mengine mengi ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka

Waandamanaji wa DR Congo wakiandamana dhidi ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani Monusco huko Goma Julai 26, 2022.
Waandamanaji wa DR Congo wakiandamana dhidi ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani Monusco huko Goma Julai 26, 2022. AFP - MICHEL LUNANGA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.