Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ziara ya mfalme Philippe wa Ubelgiji DRC, Uchaguzi nchini Kenya na hali ya vita Ukraine

Imechapishwa:

Tumekukusanyia mengi katika makala hii, utasikia kuhusu ziara ya mfalme Philippe wa Ubelgiji katika nchi ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, kuidhinishwa kwa kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga na manifesto yake, rais wa Senegal na mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall alikuwa mwalikwa wa RFI na France24 utasikia nini alichokisema pia hali ya mapigano ya jeshi la Urusi huko nchini Ukraine

Mfalme Philippe wa Ubelgiji akiwa pamoja na rais wa DRC Félix Tshisekedi wakati wa ziara yake jijini Kinshasa Juni 8 2022.
Mfalme Philippe wa Ubelgiji akiwa pamoja na rais wa DRC Félix Tshisekedi wakati wa ziara yake jijini Kinshasa Juni 8 2022. © Arsene Mpiana / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.