Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mazishi ya M. Kibaki rais wa tatu wa Kenya jumamosi 30 aprili, waasi DRC watoa maoni

Imechapishwa:

Tumekukusanyia mengi, utasikia Kutamatishwa jijini Nairobi nchini Kenya, kwa mazungumzo kati ya serikali ya DRC na wawakilishi wa makundi yenye silaha katika nchi hiyo, wiki hii wakenya waendelea kumwomboleza aliyekuwa rais wao wa tatu Emilio Mwai Kibaki ambaye mazishi yake yanafanyika jumamosi ya tarehe 30 aprili 2022, siasa za ukanda lakini pia ziara yake katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres huko Kiev Ukraine

Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila (katikati) rais wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki aliyefariki dunia aprili 22 pamoja naye Yoweri Museveni (Uganda) wakati wa mkutano wao Kampala
Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila (katikati) rais wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki aliyefariki dunia aprili 22 pamoja naye Yoweri Museveni (Uganda) wakati wa mkutano wao Kampala AFP PHOTO/ PETER BUSOMOKE
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.